Posted on: December 9th, 2024
Disemba 9, kila Mwaka Tanzania Bara husherehekea Siku ya Uhuru wa Tanganyika uliopatikana Disemba 9, 1961 kutoka kwa Uingereza.
Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa leo tarehe 9 Disemba,2024 imeadhimis...
Posted on: December 6th, 2024
Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa limefanya ziara ya Kikazi,katika Halmashauri ya Jiji la Mwanza yenye lengo la kujifunza masuala mbalimbali ya Uendeshaji wa Halmashauri ikiwa ni pam...
Posted on: December 1st, 2024
Siku ya UKIMWI duniani huadhimishwa tarehe 1 Disemba kila mwaka ili kueneza ufahamu wa ugonjwa wa UKIMWI unaosababishwa na uambukizi wa virusi vya UKIMWI.
Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yame...