• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe |
Buchosa District Council
Buchosa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara/Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Misitu
    • Biashara
    • Ushirika
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Telesenta
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi idhinishwa
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

WATHIBITI UBORA WA SHULE WAPATIWA MAFUNZO BUCHOSA

Posted on: September 30th, 2025

Wathibiti Ubora ngazi ya Halmashauri wametakiwa kuweka malengo thabiti katika ufundishaji na ujifunzaji ili kuongeza ufanisi wa kazi za timu za ndani za uthibiti ubora wa shule katika kupanga na kuboresha mikakati katika elimu.

Akizungumza katika ufunguzi wa mafunzo ya Wathibiti Ubora wa Shule leo tarehe 30, Septemba,2025 katika ukumbi wa shule ya Sekondari Nyehunge Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa Bw.Benson Peter Mihayo,amewataka Wathibiti Ubora wa Shule kujijengea utamaduni wa kufundisha kwa bidii  kukuza uwajibikaji ,uwazi kwa kushirikiana kwa pamoja ili kuongeza ufaulu katika sekta ya elimu.

“Tengenezeni utamaduni wa kufundisha kwa bidii ili kufikia malengo ya ufaulu ambayo mmejiwekea katika Shule zenu” amesema Mkurugenzi Mtendaji Bw.Benson Mihayo.

Kwa upande wake Uthibiti Ubora wa Shule Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa Bi.Tunu M.Sarungi ameeleza na kufafanua kwamba mafunzo hayo ambayo yameandaliwa kwa lengo la kuwajengea uwezo Maafisa elimu kata, Wakuu wa shule,Wataalumu wakuu,pamoja na wenyeviti wa timu za uthibiti ubora wa shule za ndani ambapo wataweza kusimamia na kufuatilia viwango vya ubora wa elimu katika maeneo yao ya kazi.

Naye Afisa Elimu Sekondari Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa Bw.Simbanilo Changiki amesema kuwa Mafuzo ya Wathibiti Ubora wa Shule yatasaidia timu hizo kuongeza ufanisi wa kuinua taaluma na maendeleo katika Sekta ya Elimu sambamba na kuongeza ubora wa ufundishaji na ujifunzaji shuleni.

Aidha mafunzo hayo yamewajengea uwezo Maafisa elimu kata, Wakuu wa Shule,Wataaluma wakuu na  wenyeviti watimu za ndani katika kuhakikisha wanatambua majukumu yao na kusimamia ufaulu wa wanafunzi  katika Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI November 27, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA AJIRA HALMASHAURI YA BUCHOSA November 25, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA MUDA YA UCHAGUZI November 20, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA October 13, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DC SENYI NGAGA AWATAKA WANANCHI KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA DHIDI YA WANAWAKE BUCHOSA

    March 04, 2026
  • BARAZA LA MADIWANI BUCHOSA LAITAKA TARURA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA

    February 12, 2026
  • BARAZA LA WAFANYAKAZI LA BUCHOSA LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 44.7 KWA MWAKA 2026/2027

    February 05, 2026
  • BUCHOSA YAUNGANA NA RAIS SAMIA KUPANDA MITI

    January 27, 2026
  • Angalia zote

Video

UTOAJI WA MIKOPO HALMASHAURI YA WILAYA YA BUCHOSA
Video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Mpango Mkakati Wa Halmashauri

Tovuti Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Mkoa wa Mwanza
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)
  • Wizara ya Kilimo

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

freevisitorcounters's Website

Location Map

Wasiliana nasi

    Buchosa District Council

    Anuani: 44 Buchosa - SENGEREMA

    Simu: 0759941297

    Simu ya kiganjani: 0765029662

    Barua pepe: ded@buchosadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Hamlashauri ya Wilaya ya Buchosa. Haki zote zimehifadhiwa