Kamishna wa Ardhi, Elia Kamihanda amekabidhi vifaa wezeshi katika utendaji kazi kwa Idara ya Ardhi na Maliasili leo katika ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa.
Anaepokea (kwenye picha) vifaa hivyo kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji ni Afisa Ardhi mteule Bi Riziki Kashoro.
Buchosa District Council
Anuani: 44 Buchosa - SENGEREMA
Simu: 028 2590162
Simu ya kiganjani: 0684291102
Barua pepe: ded@buchosadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Hamlashauri ya Wilaya ya Buchosa. Haki zote zimehifadhiwa